Register leo uingie team ya wanaboda kote nchini! Hii ni chance ya kufikiwa na information chap chap na kufaidika kwa miradi au nafasi zinazotokea za kujenga wanaboda. Usihate, biashara ni leo, usipitwe!
Kujiregister kutakupa chance ya kwanza kufaidika kutoka App inayokuja hivi karibuni yenye information yote unahitaji kama mwanaboda ku upgrade biashara yako. Hii ni chance ya kupata tips, kujua trends na kuongeza mapato yako kwa haraka. Ingia game mapema!